Msaada Jinsi ya ku Activate windows 8 kwa mara ya pili

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Habarini wadau naomba msaada kwa hili swala nilifanikiwa kuweka windows 8 pro kwenye pc yangu kama mwezi umepita na nilifanikiwa kui active permanent LAKINI juzi nilipokea updates za Windows zika ji install automatic baada ya kumaliza kuna ujumbe ukaniambia kwamba my pc itajerestant baada ya siku 2 ili kuweza kumaliza installation of updates ..

lakini baaada ya kuwasha pc siku iliyofuata ikatokea screen ya bluee na kuniambia kwamba ni Activate Windows tena licha ya kuwa nimesha activate mwanzoni wakati wa kuweka Windows .Na nikipress my pc then properties of pc ili kuangalia kama Windows imeactivetia au lahh naona kwamba windows aija activetiva (windows is not activated)

but niki view details in Windows Activation inaniambia kwamba windows is activated ( windows current running on ur pc is activated) LAKINI BADO NAPATA UJUMBE WA KUA ACTIVATE WINDOWS NAOMBA MSAADA NIFANYAJE AU NICHANGE WINDOWS NYINGINE!
 

Khlala

Senior Member
Dec 21, 2012
150
225
Ulitumia genuine key kuactivate windows yako?
km ndio rudia tena kuactivate.
Km uliicrack basi inabid utuambie ulitumia cracker gani?
Then tutakushauri vyema
 

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Ulitumia genuine key kuactivate windows yako?
km ndio rudia tena kuactivate.
Km uliicrack basi inabid utuambie ulitumia cracker gani?
Then tutakushauri vyema
Nilitumia windows 8 Activator mkuuu ni kama ka program fulani hivi!
 

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,611
1,250
This new electrical wheel drive, airliners need their engines for flying, not driving.karne ya 20 hii jamani bado mpo na mapangaboi ,qajerumani waneshaondoka huko.Tokea 2013.
 
Last edited by a moderator:

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
This new electrical wheel drive, airliners need their engines for flying, not driving.karne ya 20 hii jamani bado mpo na mapangaboi ,qajerumani waneshaondoka huko.Tokea 2013.
Maaana yake nn!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom