msaada jinsi ya downgrade psp

sulfametopyrazine

Senior Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
134
Reaction score
26
kuna mtu anaweza kujua professional wanaoweza kudowngrade psp isiwe inatumia UMD na itumie memory stick
 
psp firware yako ni ngapi na model yake ni ipi? kudowngrade sio mchezo ila some models zinawezekana na zingine ni downright impossible. so tuanze na model na firmware iliyopo, then nitaona kama naweza kukusaidia
 
kuna cfw moja nilikuwa natumia (b4 I sold off my psp) na ilikuwa ya 6.60 na games za PS1 zilikuwa pia zinacheza. anyway, PSP yako inaweza kuwekwa CFW ila motherboard yake ndo inaweza kuleta kasheshe, ingekuwa PSP-1000 ingekuwa mteremko. kucheki motherboard number ni kazi tena, ila kama upo dar, let me know, itakuwa rahisi zaidi kukusaidia
 

ok give me ur no. Nitakutafuta
 
kuna jamaa uwa namuona fb RS dealers uwa najitangaza kuwa anafanya hiyo kazi kwa elf 25000 then anakuwekea 2 games bure kwenye memo card but sina mawasiliano yake unaweza msaka kwenye hilo group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…