MSAADA: Jinsi JamiiForums ilivyotengenezwa

MSAADA: Jinsi JamiiForums ilivyotengenezwa

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Poleni na kazi WanaJF,

Napenda kufahamu ni kampuni gani ambayo ilitengeneza application au site ya JamiiForums kuanzia interface, design, mwonekano hadi kila kitu? Maana kwa kweli nadhani kibongobongo hamna kampuni ya kutengeneza kitu kama hiki!

Ninaomba mwenye kufahamu anifahamishe. Nina project yangu ningependa kufanya kazi na kampuni iiyotengeneza au inayomoderate JamiiForums.
 
Unataka na ww ufungue Jamii Forum part 2??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unataka na ww ufungue Jamii Forum part 2??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Amna hata haihusiani Na jf ila inaonesha hii Kampuni iliyotengeza jamii forum iko Na teknolojua Kubwa sana
 
Zipo platform nyingi za Ku build forums km jf. Nyingi n za kulipia hivyo km mpunga upo basi ingia phbb au tumia plugins za wp.org za kununua utatengeneza forum yako nawe
 
Poleni na kazi WanaJF,

Napenda kufahamu ni kampuni gani ambayo ilitengeneza application au site ya JamiiForums kuanzia interface, design, mwonekano hadi kila kitu? Maana kwa kweli nadhani kibongobongo hamna kampuni ya kutengeneza kitu kama hiki!

Ninaomba mwenye kufahamu anifahamishe. Nina project yangu ningependa kufanya kazi na kampuni iiyotengeneza au inayomoderate JamiiForums.

Xenforo XenForo.com
Nyingine
-za kununua https://www.vbulletin.com/
-za bure (free & open source) phpBB • Free and Open Source Forum Software MyBB - Free and Open Source Forum Software
Na nyingine nyingi tazama hapa https://en.wikipedia.org/wiki/Comparison_of_Internet_forum_software[/URL]
 
Ni software unanunua hakuna cha kutengeneza, ukishanunua unaweka kwenye servers zako na kufanya kustomization za muonekano kidogo. Kazi kubwa ni kumaintain servers na kujenga community.
 
Back
Top Bottom