kaka windows phone ni kama iphone haihitaji app feature hii ipo ndani ya os na microsoft wenyewe ndo watakusaidia kutrack.
1. nenda website ya windows phone yaani windowsphone.com
2. nenda myphone tab
3. sign in na acount yako ulotumia kuregister simu, mara nyingi ni email ya hotmail
4. utakuta option ya kutafuta simu na ramani itatokea halafu utaiona eneo simu yako ilipo kwenye ramani
5. kama una printer unaweza pia ukaprint location yake hapo hapo.
vitu hv unaweza kufanya ukiwa huioni simu
1. unaweza ukachagua ring simu yako ilie(incase ipo nyumbani hujui ipo wap)
2. unaweza chagua lock ili kuilock simu yako isitumike
3. unaweza chagua erase kufuta data zote
4. unaweza chagua find my phone kujua ilipo