Msaada jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by nyondoloja, Feb 16, 2012.

 1. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nina laptop DELL Vostro ambayo ina windows 7, namimi nilikuwa nataka kuitoa windows 7 niweke windows xp lakini inagoma kuload windows xp
  Naomba mnisaidie nifanyeje ili niweze ku load windows xp?
   
 2. H

  Hadoop Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Computer uliponunua ilikuwa na Windows gani?

  Kumbuka kuwa computer nyingi zinazotoka sasa zina support Windows 7 pekee yake.

  Pia Inawezekana windows xp yako sio Original so kuna drivers zina miss ndio maana haikubali.

  Pia inawezekana hiyo CD/DVD yako haisomeki kwenye CD/DVD ROM ya computer yako.


  Pia kwanini unataka XP kwa sasa?

  Karibu.
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Huwezi kudowngrade windows 7 kwenda vista au XP . Unachoweza kufanya ni fresh installtion ya ambayo itaformat mashine yako. Japo sijaupata vizuri unaposema inashinwa kuload una maanisha nini nadhani tatizo unataka kuistall XP huku window7 ikiwa active kwenye mashine yako(Downgrage). Ingekuwa ni Upgrade( XP to vista or windows7) inawezekana lakini si Downgrade......

  So back up ya data na formta mashine yako

  Msikilize na mtazame huyu dogo
  BTN
  kwa nini unarudi kwenye XP ?  Mwaswali uliyomuuliza kama angefafanua vizuri anaposema inashinw kuload anapa aujumbe gani hasa ingepedeza .So far nenno "kushindwa Kuload" inabidi watu waanze kubahatisha.

  • CD inazunguka tu kwenye Drive
  • CD inaanza na kufika hatua fulani inshindwa uendela bila ujumbe wowote na mashine inajirestart
  • kuna error inatokea
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. H

  Hadoop Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zing ...
  Anchotaka kufanya huyu ndugu ni fresh installation ya win xp(just check maelezo yake) hivyo up or down grade haina impact hapo.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  ebu labda we nifafanulie akisema imegoma kuload ana maana gani?
  • An restart mshine huku CD ya XP ikiwa kwenye computer inashindwa Kuload?- (Fresh installatin inagoma) mfano huu ni kama clip nilyoweka pale juu
  • Au anaweka CD ya XP huku mashine ikiwa imewaka na windows 7 na lakini inashiwdwa installtion sababu windows 7 ina detect anataka kufanya downgrade na inampa ujumbe fulani ( Downgrade inagoma)
  Unajua ukiwa mbali si rahisi kujua lakini kama Downgrade na upgrage ina impact inategemea anavyotaka Kuload hiyo CD ni katika state gani.
   
 6. H

  Hadoop Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zing naona mwenye Tatizo kakimbia.

  Hili tatizo lipo na watu wengi wanakutana nalo.

  One day nilitaka XP kwasababu nilikuwa natakiwa kuwa na Oracle 10g(hamna support ya Oracle 10g kwa win 7), so ikabidi nifanye fresh installation ya Win XP, kuna OS CD feki kitaa hazikukubali, nikapata Win XP original ikakubali.


  Ukweli ni kuwa zipo cd za kitaa feki zinapiga mzigo pia.

  Mwenye tatizo hasipo majibu maswali ni ngumu kumsaidia, kwani solurtion zipo nyingi.
   
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena ndio maana comment ya mwanzo kuna sehemu niliandka hivi
  Tatizo likaja wewe una experince fulani na ukataja scenario tofauti na mimi nikataja scenario nyingine ambayo pia nina experince nayo . Remote troubleshooting na support ni ngumu na kuna possibilitie nyingine amabzo umezigusia pia ndio maana mpaka hapa hatuwezi kusema tuna uhakika tatizo lake ni Fae XP CD, ni CD drive yenye tattizo . Ni yeye tu anakosea steps. Au mashine kwenye BIOS kaset priority ya kuboot kwenye CD iwe ni baada ya HDD.

  Na mwisho wa siku huwa wanapotea kama hivyo ulivyoona
   
 8. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu windo7 inakubali nimeambiwa kuna key zakuweka ndoikubali zote
   
 9. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ilikuwa na windows 7
   
Loading...