Hahaa..
Sijaelewa kama hii in tetesi au unaomba msaada.
__
Content ya ulichoandika ndo nashindwa ng'amua kabisa, Basically I'm Computer expert nadhani ningekusaidia kama ningekuelewa
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
[/QUOT
Jamani msaada wenu naomba wajuzi wa computer mnifundishe japo kidogo tu jinsi ya kutumia hizo computer Asanteni