Msaada jeans kali za mtumba soko gani zipo kwa wingi

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
704
1,070
Natumani hamjambo wadau

Nahitaji mtu anayejua soko gani lililopo Dar wanauza jeans za mtumba kali kwa bei nafuu ukiacha Kariakoo,Manzese.
 
Back
Top Bottom