msaada:je ni tool/app gani imetumika hapa

fundinaizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,849
Reaction score
2,979
Habari wana-Jf? naomba msaada wa kufahamishwa juu ya picha hii kuwa ime_dizainiwa kwa tool Ipi (kama inaweza kuwa katika PC)? au application Ipi (katika smartphone)?
 

Attachments

  • IMG-20170115-WA010.jpg
    53 KB · Views: 56
pc photoshop inafanya hio kazi, hio yenyewe amefanya mtu ambae si mtaalam sana.

pia kwa simu kibishi bishi unaweza ukaitengeneza na photoahop ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…