Mseti athuman
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 203
- 150
Habarini wakuu,
Naomba kuuliza, Je Chuo cha Kampa matatizo ya usajili yameisha?
Naomba kuuliza, Je Chuo cha Kampa matatizo ya usajili yameisha?
u mean bado kuna problemjichanganye utajuta na ukoo wenu
Habarini wakuu,
Naomba kuuliza, Je Chuo cha Kampa matatizo ya usajili yameisha?
Kaka jiandaee kisaikolojia,huu utawala...... Subiri.karibu sana KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY,SCHOOL MEDICINE SIYE TWAPIGA KITABU
mnapiga kitabu .subri mtakipata kilicho wa kumba wa UDkaribu sana KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY,SCHOOL MEDICINE SIYE TWAPIGA KITABU
hayo umesema wewe sisi tunaamani kabisa na shule inaenda vizurimnapiga kitabu .subri mtakipata kilicho wa kumba wa UD
watu wanataka kusoma sahzi sio mambo ya badaekampala wanajenga bonge La hospital Kile chuo kitakua balaaa baadae sio siri wadau.
Habarini wakuu,
Naomba kuuliza, Je Chuo cha Kampa matatizo ya usajili yameisha?
Bachelor ya medicine na nacte vinauhusiano gani ? Madarasa yamefanyaje ?? ,, kama ni madarasa KIU yamepo mengi mpaka mengine hayatumiki ,,, vifaa gani ?? Kama nivifaa vya maabara vipo vyakutosha ,,, kama ni malecture wapo wakutosha ,, hospital kubwa ipo inajengwa na kwa inavyoenda kasi kufikia mwakani nazani itakuwa imekamilika,,, sikatai kuwa kuna mapungufu ila sio kiivyo sasa mnavyosema nyinyi ,, wengine mnasikia maneno ya mtaani tu hata kufika KIU mkajionea bado , na mdogo wangu anasoma pale anapiga shule kama kawa tu ,, mie huwa namuita daktari mtarajiwa ,, Kijana nenda kapige shule ,,, usikilize maneno ya watu ,,Hicho Chuo kwenye Department ya Medicine kuna utata na Nacte hasa suala la madarasa na Vifaaa Tafuta Kingine