Msaada: Je, kuna Chuo chochote kinatoa Diploma ya Maabara - Songea?

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
266
Reaction score
378
Wadau habari zenu,

Naomba mwenye kujua chuo chochote Songea au Mkoa wa Ruvuma kiujumla kinachotoa kozi zifuatazo;

1. Diploma ya maabara/Pharmacy
2. Elimu ya X ray na mionzi
 
1. Diploma ya maabara
2. Elimu ya X ray na mionzi
 
Wadau habari zenu,

Naomba mwenye kujua chuo chochote Songea au Mkoa wa Ruvuma kiujumla kinachotoa kozi zifuatazo;

1. Diploma ya maabara/Pharmacy
2. Elimu ya X ray na mionzi
Tumia NACTE Admission Guide utapata jibu.
 
Back
Top Bottom