TangataUnyakeWasu JF-Expert Member Dec 18, 2016 1,268 1,611 Mar 14, 2017 #1 Naomba kujua Kama huyu kada alihudhuria kikao cha CCM kilichoketi huko Dodoma juzi.
TangataUnyakeWasu JF-Expert Member Dec 18, 2016 1,268 1,611 Mar 14, 2017 Thread starter #3 Euphransia said: Alihudhuria mkuu Click to expand... Asanteeeeeee mkuu kwa Taarifa
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,525 51,216 Mar 14, 2017 #4 Alikuwepo mkuu tulikuwepo wajumbe karibia wote 99%
Obuma JF-Expert Member Dec 28, 2015 2,727 5,096 Mar 14, 2017 #6 Yule ni kachero mstaafu anajua jinsi ya kupima Upepo mkuu!! Haendi kichwa kichwa kama kina msukuma!!!!!
Yule ni kachero mstaafu anajua jinsi ya kupima Upepo mkuu!! Haendi kichwa kichwa kama kina msukuma!!!!!