Msaada jameni... Kabla sijaadhirika

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
HABARI ZA LEO WADAU?

MAJUZI NILIKUA NA HARAKATI ZA KUTAKA KURAHISISHA MAISHA KWA KUICHAKACHUA MODEM YA AIRTEL, MODEL

d9-ZTE-MF190-USBModem.jpg


MF 190 ZTE. NILIFANIKIWA KUI-UNLOCK LAKINI KILA NIKIWEKA LINE NYINGINE INANIPA WORNING "PLEASE USE CORRECT (U) SIM CARD!" NA SCREENSHOT ZINGINE NIMEZI-ATTACH HAPO CHINI NI ZA SOFTWARE NILIO ITUMIA KUI-CRACK INAITWA DC UNLOCKER KAMA KUNA MWENYE UWEZO WA KUNISAIIA KUISOLVE HIO "INSHU" ANISAIDIE PLEASE


msaada+1.jpg


msaada2.jpg


msaada3.jpg


msaada4.jpg



warning.jpg


more help please
 

Attachments

  • msaada 1.bmp
    846.1 KB · Views: 41
  • msaada2.bmp
    862.4 KB · Views: 47
  • msaada3.bmp
    836 KB · Views: 37
  • msaada4.bmp
    1.3 MB · Views: 42
  • warning.bmp
    136.4 KB · Views: 35
mkuu hizo screenshot zitamaliza bundle za watu hebu zipunguze au mtu mwenye bandwitch nyingi amsaidie
 
mkuu hapo huja unlock kitu kwani dc unlocker ni ya kulipia thats why hapo chini inaandika no username na pia inataka credit

Download dccrap kwani ni version ya dc unlocker ambayo ipo cracked kutumia bure

Thread zipo nyingi humu search keyword dccrap
 
mkuu hapo huja unlock kitu kwani dc unlocker ni ya kulipia thats why hapo chini inaandika no username na pia inataka credit

download dccrap kwani ni version ya dc unlocker ambayo ipo cracked kutumia bure

thread zipo nyingi humu search keyword dccrap

lakini kweye picha ya kwanza kwenye status inaniambia "unlocked" nicho kilichonichanganya
 
Hua zte mara nyingi haziwi locked kwenye modem bali dashboard jaribu kutumia dashboard nyengine kama join air uangalie result itakuaje


you desrve more than this mkuu

images


imekubali kufanya kazi na line ya voda bt tigo imezingua nitaicheki na zantel nikipata wasaa....

MUCH LOVE AND RESPECT
 
Back
Top Bottom