hajanitambulisha, alivyomtambulisha tu kwangu jamaa aliaga na kusema kuna mahali anawahi hivyo asingeweza kuendelea na mazungumzo, akamwambia demu wangu watawasiliana!!
Demu wangu kaamua kuniumiza, kanipigia simu nimfuate maeneo flani hapa katikati ya Jiji kufika tu namkuta na njemba, kanitambulisha kwamba alisoma na
huyo jamaa sekondari ila wamekutana ghafla, kilichonitia shaka ni kwamba jamaa alipokuwa anataka kuondoka alimpiga demu wangu busu zito hali iliyonipa wasiwasi kwamba naibiwa mwenzenu!! Demu sijataka kumuuliza neno lolote nimeamua kunyamaza mwenzenu,. Nisaidieni yasije yakawa kama ya bushoke!!
Pole mkaka,
Alichokifanya dem wako ni dharau za hali ya juu..michezo ya namna hii mara nying wasichana wanapenda sana kuicheza..
Na huwa wanawachezea wapenz wao ambao ni zugazuga time..
Yaani ile yupo kwako kwasbb ya kitu fulan au mastress yake ndio yamemfanya awe na ww..
Huyo jamaa uliyemkuta naye ni jamaa yake na bado wanamegana kisela, ingawa huyo jamaa anajua dem ana mshkaj mwingine ambaye ni ww..
Kwhy hapo ulipowakuta walikitana kwaajil ya mazungumzo yao, bahat mbaya ulifika kabla ya mshkaj kuagana na dem wako..
Yote kwa yote piga moyo konde jikaze kiume usimuulize..ningependa ufanye revenge ili ajue ulikisikiaje..
Kama ukipenda kulipa kisasi niPm