Msaada jamani

Msaada jamani

Linyo

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
83
Reaction score
12
Msichana niliye naye anakuwa anataka pesa kila ninapota kumgegeda je nime piga wrong number labda sio nyota yangu?
 
Msichana niliye naye anakuwa anataka pesa kila ninapota kumgegeda je nime piga wrong number labda sio nyota yangu?

insert pesa kwenye mgegedo wako,
install system software mpya ya kuondoa wadudu.

the problem, it might be you!
 
Ulivyoandika tu umeonyesha ni jinsi gani umechoka na hiyo tabia yake. Pole
 
kesho ukimgegeda akitaka hela muulize...."Baby unauza sikuhizi?"
Yanini kujisumbua kichwa,
Huyo keshakuwa mama muuza tayari mpe chake kama umeipenda staili hiyo endelea nae,
hupendi achana nae.
 
Huyo bilashaka anajiuza, sasa badilisha mbinu saiv mpe hela kwanza kabla ya mgegedo yaani fanya pre paid kabla ya huduma alafu muangalie kama ataulizia gegedo
 
Subiri na yeye akitaka kukugegeda nawe umdai pesa.
 
Back
Top Bottom