yap inawezekana...kama unatumia smart phone tafuta application ya kufanya hivyo...kama unatumia HTC tafuta programm inaitwa 'sms blocker' afu install simply..unachagua list ya namba unaziweka kwenye black list basi...wakikupigia wanaambiwa hupatikani...sms zao hazikufikii..mi natumia iyo.