Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 709
- 891
Wakuu,
Naomba niwahusishe katika hili tatizo langu. Nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mausiano kwa miaka mitano. Kwa bahati nzuri mchumba wangu anaujauzito.
Tatizo linakuja kuwa wakati umefika kwa kuenda Clinic ambayo ndiyo kw mara ya kwanza kwake kuhudhuria. Alipofika hapo Clinic ameambiwa hawawezi kumsaidia hadi aende na aliyempa mimba.
Mimi nipo nje ya nchi kwa sasa kikazi. Sasa Sijui nifanyeje na hivi kweli ni haki kwa waliyomwambia maana anaweza kukosa masuala muhimu ya elimu ya kijifungua baadae likawa tatizo. Zingatia ni ujauzito wa kwanza kwake