Msaada jamani

Msaada jamani

Madhara ya kujichua husababisha mishipa ya kwenye penis kulegea na hivyo mrija wa penis unakua luz na hutanuka pia ( hii inapunguza pressure ya sperm wakati zinatoka na hivyo kupoteza utamu wote)... na pia hukomaza ngozi ya kwenye penis ( compare kiganja cha mkono "ata kama unapuchuka na parachichi" na sehemu ya ndani ya mwanamke au gusa ndani ya mdomo kwenye shavu) hapo ndipo utagundua namna unavyo komaza penis yako... mara nyingi porno inakudindisha sanaa: madhara yake ni kwamba unapata hisia ya kufanya mapenzi bila kuandaa mfumo wa uzazi na hii husababisha pre ejuculation iambatane na bao lenyewe (hapo hakuna tena utamu)
sasa basi nini kifanyike kwako:
1. Usitumie ile style ya 'woman on top' kwa muda kidogo.. (Utaelewa tuu why)
2. Tafuta dawa ya kimasai inaitwa "Warkwanyeli" itasaidia 90%
3. Acha penis yako luz kwa mda wa mwenzi (epuka boksa zinazobana)..
4. Tafuta ushauri zaidi kwa wataalam..

Asante bro kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Hujanielewa pia kutokuhisi chochote hakuendani na ku ejaculate.

Ni hv ninapoingza gear kwa mama j wangu huwa sijisikii ila ntapizi pia nadhani wachangiaji wengine wamesema kweli na ushauri wao nitaufuatilia.Nimeamini hili tatizo oi la kisaikolojia pia nilijichua kwa mda mrefu alaf na porno imeniharibu.

Pole mkuu,fatilia ushauri hakuna tatizo lisilo na suluhisho chini ya jua.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
Madhara ya kujichua husababisha mishipa ya kwenye penis kulegea na hivyo mrija wa penis unakua luz na hutanuka pia ( hii inapunguza pressure ya sperm wakati zinatoka na hivyo kupoteza utamu wote)... na pia hukomaza ngozi ya kwenye penis ( compare kiganja cha mkono "ata kama unapuchuka na parachichi" na sehemu ya ndani ya mwanamke au gusa ndani ya mdomo kwenye shavu) hapo ndipo utagundua namna unavyo komaza penis yako... mara nyingi porno inakudindisha sanaa: madhara yake ni kwamba unapata hisia ya kufanya mapenzi bila kuandaa mfumo wa uzazi na hii husababisha pre ejuculation iambatane na bao lenyewe (hapo hakuna tena utamu)
sasa basi nini kifanyike kwako:
1. Usitumie ile style ya 'woman on top' kwa muda kidogo.. (Utaelewa tuu why)
2. Tafuta dawa ya kimasai inaitwa "Warkwanyeli" itasaidia 90%
3. Acha penis yako luz kwa mda wa mwenzi (epuka boksa zinazobana)..
4. Tafuta ushauri zaidi kwa wataalam..

MOn'goO amemaliza kila kitu hapa..fuata huu ushauri. Pia acha kuangalia porn na kupiga ny.e.t.o. Pia fuata ushauri wa dada Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom