shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Hi wanajamvi.Natumai mu wazima wa afya.
Dhumuni ya thread hii ni kuomba msaada wa kimawazo toka kwenu wanajamvi. Mi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32 nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitano japo nilianza kuishi na mke wangu toka tukiwa chuo kikuu kimoja huko morogoro.Katika ndoa yetu tumebahatika kupata watoto wawili.Nimekuwa na tatizo la kutokuwa na hisia wala kuhisi chochote wakati napata haki yangu ya ndoa.Tatizo hili nilikuwa nalo tangu tukiwa chuoni na kabla ya hapo hata wanawake wengine niliokuwa nao sikuwa nahisi lolote so sijawahi enjoy tendo la ndoa.Hamu huwa ninakuwa nayo ila nakosa msisimko na huwa sijisikii lolote hata pale ninapopizi.Maumbile ya mke wangu ni mazuri tena mnato(samahani kwa hili) ila sihisi lolote.
Cha kushangaza nimekuwa nikihisi msisimko wa ajab na joto la mwili hunipanda pale ninapohisi kuna watu wanadu.wakati nasoma nilikuwa nimepanga na chumba cha jirani kuna mtu na mkewe.Nilikuwa nashindwa lala pindi ninapohisi chumba cha jirani wanadu siku nyingine huwa nahisi wanadu na moyo kunienda mbio hata kama hawadu.
Natamani sana kumaliza hili tatizo nami nienjoy sex na mke wangu.
Naomba mnishauri wadau nifanyaje ili kumaliza hili tatizo?
Nawatakieni asubuhi njema.