happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Na labda nikuulize kaswali, Ulishawai vikishwa kilele cha mlima katika mara zote hizo ulizojaribu kufanya?
Coz huwezi enjoy kupanda mlima kama hautafika kileleni lazima utachukia kupanda kabisa.
najiandaaa kwenda harusini!ILA HIZI HATA WEWE MUUMINI WETU WA KWANZA unaweza kuziombea!hebu mfanyie zile deliverance ndgndg tukija sie tunamalizia!AMEN?
Sababu unafanya sex kabla ya ndoa sababu, huna pepo wala nini una washwa tu :biggrin:jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas mimi ham nae inaisha na ninamchukia kabisa unakuta sitaki kabisa hata kumuona, jamani ushauri wa bure itakua ninatatizo gani mwenzenu?
jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas mimi ham nae inaisha na ninamchukia kabisa unakuta sitaki kabisa hata kumuona, jamani ushauri wa bure itakua ninatatizo gani mwenzenu?
je hao wanaume unapowakubali hadi kusex unakuwa umewapenda au umewatamani?
Unakaa muda gani katika relationship hadi kuamua kusex nao/nae?
Unapom /wakubali unamkubali kwa sababu ipi? Namaanisha unaamua kumkubali mwanaume kwa kuwa tu kakutongoza au kwa kuwa umempenda au umemtamani?
Ushawahi kukojozwa unaposex?
je hao wanaume unapowakubali hadi kusex unakuwa umewapenda au umewatamani?
Unakaa muda gani katika relationship hadi kuamua kusex nao/nae?
Unapom /wakubali unamkubali kwa sababu ipi? Namaanisha unaamua kumkubali mwanaume kwa kuwa tu kakutongoza au kwa kuwa umempenda au umemtamani?
Ushawahi kukojozwa unaposex?
hujanielewa ndugu sio kama sisikii utam nausikia tena to the maximum lakini baada ya tendo sikutaki tena labda aje mpya nae ni hivyohivyoTatizo ukiwa kwenye hizo kazi unawazia marejesho na kodi. Tuliza akili uone utamu wa hiyo shughuli na washughulikaji.