M Mr.Busta JF-Expert Member Mar 24, 2011 672 99 Aug 11, 2012 #1 Naombeni msaada.kifua kinapata moto/kinauma kwa muda fulani.pia nakuwa na banja sana labda kila baada saa2 Au3.naomba kujua tatizo nini? Au ndio TB?
Naombeni msaada.kifua kinapata moto/kinauma kwa muda fulani.pia nakuwa na banja sana labda kila baada saa2 Au3.naomba kujua tatizo nini? Au ndio TB?
P Prince Hope JF-Expert Member Jul 21, 2012 2,155 441 Aug 11, 2012 #2 Ni vizuri ukaenda hospitali. Inawezekana ni mazingira ya vumbi yamesababisha au kitu kingine.
M Mr.Busta JF-Expert Member Mar 24, 2011 672 99 Aug 12, 2012 Thread starter #4 Prince Hope said: Ni vizuri ukaenda hospitali. Inawezekana ni mazingira ya vumbi yamesababisha au kitu kingine. Click to expand... asante mkuu.nitafanya hvyo!
Prince Hope said: Ni vizuri ukaenda hospitali. Inawezekana ni mazingira ya vumbi yamesababisha au kitu kingine. Click to expand... asante mkuu.nitafanya hvyo!
M Mr.Busta JF-Expert Member Mar 24, 2011 672 99 Aug 12, 2012 Thread starter #5 mtotowamjini said: Labda ngoma hiyo!!! Click to expand... vyote ni ushauri.