Zooxathellae
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 323
- 278
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu..Mkuu usipanie sana game mwisho wa siku unapoteza game mapema sana dakika ya piki tu,Cheza kama upo uwanja wa ugenini punguza mashambuli jilinde zaidi hapo utamaliza bila kufungwa....Relax