Msaada jamani

Msaada jamani

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(a)Hivi kwa nini mabara(continents) ni mapana kadri unavyoelekea kaskazini na ni membamba kadri unavyoelekea kusini? (a)kwa nini polar bears(dubu weupe wanaoishi kwenye barafu) ni left handed i.e mashoto?
 
Ukipata jibu hili hata hilo utajua @Kwanini wewe umezaliwa
 
Geography nayo imenikalia kushoto!!
 
(a)Hivi kwa nini mabara(continents) ni mapana kadri unavyoelekea kaskazini na ni membamba kadri unavyoelekea kusini? (a)kwa nini polar bears(dubu weupe wanaoishi kwenye barafu) ni left handed i.e mashoto?

Duh! hii kali.
 
Back
Top Bottom