Msaada jamani

Msaada jamani

maharco

Senior Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
116
Reaction score
35
Hivi vyuo vya DIPLOMA nacte wakati wa ku apply DIPLOMA tayari au ndo bado msaada nisije nikapitwa maana haya mambo ni kama mficho hivi
 
Vyuo vya diploma vyote nafasi zimejaa,,,, na wale walioapply ualimu wasubr vyuo hucka wapate walaka kutoka nacte ndio watoe majina vle vle Pia walioomba ualimu hawaruhusiwi kufanya chochote katika profile zao hadi hapo watakapo chagua wenye sifa
 
Duu hatari hiii kwa maana hiyo wale wa 4m6 waombe mwkani au ushauri waombe Certificate au
 
Duu hatari hiii kwa maana hiyo wale wa 4m6 waombe mwkani au ushauri waombe Certificate au
No kuna course nyingi za diploma,,, mfano SUA wanatoa coz kma diploma laboratory etc kwa miaka 2 kwa wale form six waliokosa sifa za kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu, ila awe na princimple pass angalau moja
 
Namna ya ku apply nacte sasa mbona havijitokezi
 
Back
Top Bottom