Msaada jamani

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Kuna mtu hapa niko naye anamaumivu sana ya tumbo na maumivu ya pumbu. Tumbo linauma na kupoa ila pumbu zinauma muda sasa
 
Hernia hyo mkuu mwambie aende hospitali wakampatie msaada wa kitabibu zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom