EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,911
nilikuwa naomba msaada kwa mtu binafsi,kampuni,shirika,taasisi nk.wa kulipiwa ada ya kusoma short course VETA chang'ombe ambazo ni CELLULAR PHONE, OFFICE MACHINE MECHANICS ztachukua miezi 4 ada ni 500,000 mambo mengne tafanya mwenyewe,kama unaweza nisaidia au unajua wapi tapata msaada tuwasiliane 0624078253 ELIMU YNG KIDATO CHA 6,LENGO NATAKA KUJIAJIRI ASANTENI.