Umeingia choo cha kike achana naye huyo ni kibaka nahapo bado hujamuweka ndani huyo ni wawenzio ndg
Yaani hapo mwisho ndio umenilegeza kabisaaa..!
Hilo swali kama ana nia nzuri na mahusiano yenu ungemuuliza yeye angekupa jibu zuri na la uhakika zaidi.
Dah sijasikitikia pesa zako ila nimesikitika wewe kutokupewa naniliu....