Msaada jamani wa samsung galaxy mini yangu imezima wakati ikiwa chaji

abiudy caleb

Member
Jul 22, 2011
8
0
jaman wana jf simu yangu samsung galaxy mini nilikua nimeiweka chaji then baada ya masaa kama maiwili kuigusa nikakuta imekua ya moto sana then nikaizima ili ipoe, baada ya mda kidogo nikajaribu kuiwasha ikagoma kuwaka.msaada jaman mwenzenu nimekwama.
 
Jaribu kuichomeka tena kwa chaji, then itazame kama itadetect charger, ukiona kimya jua charging and battery system imecollapse, jaribu kupata switch system IC inayoendana na model yako, then ibadili, but be assured na technician utayempelekea, coz wengi wasanii nowdays
 
samahan mkuu kwa kukaa kimya mda mrefu nilipata matatizo, nilitest kama ulivo nielekeza, lakin haikudetect kitu but ukiiweka chaj baada ya mda betry inajaa lakin haionyesh kama inapeleka so chager system inaweza kua mbovu wakat inaweza kuichaj betri? Msaada mkuu.
 
lamba betri kama lina release chaji,kam halina chaji afta tongue testing embu reboost kwa kobe!or kama betri iko poa,chek wth terminals,then its chaja!
 
Back
Top Bottom