Asante kwa ushauriPole dada kwa manyanyaso unayoyapata baada ya kufurahia ndoa imekua chungu.
Jaribu kutembelea jf doctor forum, na nivizuri mkaenda kumpima na kupata ishauri wa daktari mkiwa pamoja kuliko kila moja kwenda kupima kivyake, naamini mkifanya hivyo na kumshirikisha mungu katika hilo atayajibu maombi yenu
Mwez tuliooana yan mwez wa pili tulipatana nitumie progestogen pills bt kwa wiki 3 tu baada ya hapo nikaachaJarib kumwambia akae mda mrefu kidogo kama wk mbili hadi mwez kabla ya kukutana nae kimwili katka siku hiyo ya hatar inaweza kuwasaidia
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!!
Hapo inabidi utumie akili kumtuliza..kwa kuwa ushapima na ikaonekana hakuna tatizo..inabidi uwe muwazi tu kuwa ushapima na ikibidi muende hospitali kwa mara nyingine wote kuchunguza afya kwa mara nyingine...Mwenzngu anaharaka sana yan kila cku ananilaumu mim tu
ebu kajaribu kidume mwengine uone kama utapata mimba....ila hongereni kwa kutopeana mimba kabla ya kuoana
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!!