Msaada jamani wa best english novel stories

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
jaman naomben msaada wa title za novel ambazo zina story nzuri , ambazo infact nita enjoy story na pia nita improve my English grammar.......please wana jamvi mnisaidie nikavinunue,ziwe za kiingereza, na nikipata na location ya bookshops zake itakuwa vyema, niko dar kwa siku mbili tu, then narudi peripheral
 
Nenda maktaba ya taifa,tanganyika library iko posta pembeni ya mahakama ya kisutu,unalipia sh 1000 kwa siku,vitabu vipo bwelele,ukitaka kununua nenda novel idea iko posta karibu na mgahawa wa Steers.
 
Kwa nini usome fictions ambazo hazina uhalisia wakati vitabu vya non fiction vipo lukuki na vitakusaidia si tu kuejoy bali kukuza maarifa na weledi wako?
 
Kama una android smartphone au tablet download application inaitwa ebook 10000+,,utapata all the latest fiction and non fiction books for free lwa ajili ya kusoma kwenye sim au tablet yako
 
yap, thanx kwa idea, kesho saa nne ntakuwa hapo
 
Kama una android smartphone au tablet download application inaitwa ebook 10000+,,utapata all the latest fiction and non fiction books for free lwa ajili ya kusoma kwenye sim au tablet yako

cammon hapo sasa ndo kazi inapokuwangumu, mi nimejipinda hadi najisifia hapa, natumia ushar201, so i need to buy smartphone.........sio ishu vizur gharama nta jitahid
 
Kwa nini usome fictions ambazo hazina uhalisia wakati vitabu vya non fiction vipo lukuki na vitakusaidia si tu kuejoy bali kukuza maarifa na weledi wako?

Rihana
You have a point,lakini kwa swala la kuimprove english fictional stories could be much better.

Mimi nilikuwa najua kumtandika mtoto matakoni ni kumbeat au hit mpaka nilipokutana na fictional story ndo nikajua ni ku spank, and much more.
 
heee, kumbe ni ku-spank........mambo yasha anza kabla hata novel zenyewe sijaanza kuzisoma, watanikoma kwenye maspeach mbalimbali
 
All the best,ingine niliyokutana nayo na jina la wale wanafunzi wasioelewa masomo hata kwa maombi,mi nilikuwa nawaita mafool au very wrongly slow leaner-sababu most do not become learned in the end.wanaitwa ma dunce.
 
Soma vitabu non-friction
Vipo vitabu kama
1. The apology
2. Art of war
3. The prince
N.k
Vipo pia katika audio, tunapatikana
0684 579305
0656 579305
Email: wigotz@gmail.com
 
kuna moja inaitwa THE GREEK TYCOON ya mills and boon ni nzuri sana hutotaka kukiachia.
 
jaman naomben msaada wa title za novel ambazo zina story nzuri , ambazo infact nita enjoy story na pia nita improve my English grammar.......please wana jamvi mnisaidie nikavinunue,ziwe za kiingereza, na nikipata na location ya bookshops zake itakuwa vyema, niko dar kwa siku mbili tu, then narudi peripheral

wauzaji wa novels walikua pale maeneo ya CRDB karibia na office za precision mitaa ya posta NMB bank house branch wamefukuzwa fukuzwa wee kila siku wanatangatanga. huwezi kupata novel strong mpya siku hizi. hawa wauzaji wa mtaani wanazo zile novel zenyewe 'mikate' kwa sasa nenda kwenye lile soko la vyakula karibu na jengo la Red cross karibia na stend ya daladala ubavuni mwa uwanja wa mnazi mmoja. wako barabarani tu maeneo ya sokoni hapo kwenye barabara inayokuja kutoke kwenye barabara kubwa hapo karibu na hilo gholofa la redcross.

kuna novel nyingi sana ukitaka za kuanzia chini au mikate. kuna novel moja inaitwa Out on a Limb imeandikwa na actress Shirley MacLaine ni znuri sana. ila kwa hawa jamaa kukuta wana kitabu cha aina fulani zaidi ya kimoja ni ngumu. pia hata pale ubungo vipo ila vya pale vingi ni vya kisasa havina mvuto kama vile vya zamani (1980) kurudi nyuma. na pia novel kubwa huwa zinaanza kwa kuboa sana yaaani huwezi pata anajaribu kusema nini mpaka ufike labda sura ya saba huko ndo unaanza kuifurahia
 
Kwa nini usome fictions ambazo hazina uhalisia wakati vitabu vya non fiction vipo lukuki na vitakusaidia si tu kuejoy bali kukuza maarifa na weledi wako?

Yah! ni ushauri mzuri, nadhani akisoma non fiction ataongeza maarifa na kukuza ufahamu wake zaidi kuliko kujifunza/kuboresha uwezo wa kuongea kiingereza bila kua na ufahamu mpana
 
Rihana
You have a point,lakini kwa swala la kuimprove english fictional stories could be much better.

Mimi nilikuwa najua kumtandika mtoto matakoni ni kumbeat au hit mpaka nilipokutana na fictional story ndo nikajua ni ku spank, and much more.

Noo! Rihana yuko sahihi kabisa.kuongeza maarifa na ufahamu ni bora zaidi kuliko kujifunza kuongea kiingereza vizuri huku kichwani ukiwa mbumbumbu.
 
Rihana
You have a point,lakini kwa swala la kuimprove english fictional stories could be much better.

Mimi nilikuwa najua kumtandika mtoto matakoni ni kumbeat au hit mpaka nilipokutana na fictional story ndo nikajua ni ku spank, and much more.

Mkuu,hapo unataka kusema vitabu vya "non-fiction" ndo vinafundisha kumtandika mtoto matakoni ni kum-beat au hit ila vya fiction ndo vinasema ni ku-spank? Japo ni uamzi wako.

Ila ushauri aliokupa mdau mmoja wapo kwamba non-fiction could serve your interest multi-purposely, sounds concrete. (Mind you, this is my mere take... you are the one to decide).

cc: Rihana
 
Pale soko la kisutu dai kuna jamaa wanuza vitabu vingi tu unaweza kutembelea hapo hapo.
 
Nakushauri pia ukiwa unabrowse internet uwe unapenda kusoma na news za dunia especially yahoo news kwenye hizo headings unazokutana nazo yahoo homepage. Personally zimenisaidia sana kukuza vocabulary
 
Back
Top Bottom