mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 118
kurushana roho kwa namna hii atakuja kumuua mwenzie kwa presha. mzima wewe?
anakurusha roho tu huyo....anajua atadraw atenshen yako
Mkuu inaonekana humlizishi huyo mke wako ,hapo alikuwa anajiandaa kwenda kwa jamaa linamshugulikiaga vizuri!
Kwa hiyo tusiotumia tigo tunaweza ku "jeopordize" our marriages!mh!hii ni hatari kubwa!Hakuna cha kuridhishwa mkuu. Wanawake wa siku hizi huwawezi mwanaume anajitahidi kusugua mbele akidhani anamridhisha kumbe wapi wife anapeleka tigo kwa jamaa akaridhishwe. Crazy world!
We badili tabia...kamrushe roho mumeo kinamna hii uje kutupa matokeo!lol!
mie mzima my dear.....
Unadhani mke angekuwa naenda kuuza mechi angefanya huo uzembe? Kamfanyia makusudi hahahah
akinizingua namrusha tu, halafu nitakuwa namcheki anavyokaba hadi penalty, kumbe mie ndo raha yangu.....
Ha ha ha haaaaaa
Anatishia nyau huyo, anakupima na wewe ushaingia Kingi
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??