Nashindwa kuelewa jamani ni jinsi gani printer huDetect rangi za za wino. Je kuna chembechembe fulani za electron ndani ya wino au ni nini. Pia nilipoongeza wino kwenye cartridge mbona computer
huwa haionyeshi kama wino umo ingawa inachapa tu vizuri?
Kimsingi wino wa printer ni magnetic na si rangi tu kama inavyoonekana. Ukinunua catrilegde mpya itaonesha level ya wino na level hushuka kulingana na matumizi yako. Ikumbukwe kuwa,wino wa ku re-fill hauoneshi level.