Msaada jamani nimeibiwa black berry

MSATULAMBALI

Senior Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
187
Reaction score
55
Msaada wadau nimeibiwa BLACK BERRY TORCH sasa nauliza kama naweza ikamata au kujua ilipo kwa kutumia pin yake au ni ngumu kutrace? Vijana magomen wameniweza jana...please mwenye ujuzi wa kutrace anielekeze maana kuna mawasiliano yangu ya muhimu sana mule nikiyapoteza I'm finish
 
pole kiongozi,mm nilipoteze yangu nikaomba msaada wa kampuni ya simu kwa kigezo kuwa imesajiliwa hata hawakunipa ushirikiano!!cha kwanza kiongozi re new sim card yako hizo contact muhimu wengine watakuwa wanakupigia una save!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…