miss strong asante ndio maana nimena nipost hii topic kwa wakubwa.
Habari wana JF ninasumbuliwa na kiuno, sometime kinauma upande mmoja mmoja yaan kinazunguka pande zote mbili ninaamka asbh nakuta kinauma upande wa kulia baada ya ck 1 au 2 kinauma left side nilipewa dawa hosp lakin ckuona msaada nikaamua kuacha hivyo tu. Tafadhali anayejua namna ya kutatua hili tatizo naomba msaada tafadhal.
Tumia comfy kwnza