Msaada Jamani, Nataka mawasiliano yangu yawe Recording

Liborio

Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
69
Reaction score
37
Habari ndgu zangu . Nilikuwa ninaomba mwenye Uelewa kwenye simu anielekezeJinsii ya kuacha mawasiliano yangu kwenye simu yangu. Nikimanisha kila nitakae ongeanaye yawe recording kwenye phone or memory.
 
Download Call recorder halafu weka auto record for every call then select folder utakayotaka hizo records zikae

Hakikisha unapata call recorder ambayo ipo automatic kwenye kurecord yenyewe.
 
Habari ndgu zangu . Nilikuwa ninaomba mwenye Uelewa kwenye simu anielekezeJinsii ya kuacha mawasiliano yangu kwenye simu yangu. Nikimanisha kila nitakae ongeanaye yawe recording kwenye phone or memory.
Download app inaitwa AUTOMATIC CALL RECORDER..
 
Back
Top Bottom