Msaada jamani naomba mwenye kazi anisaidie

Nyanokwe96

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
22
Reaction score
12
Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology)

Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu

Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi

Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa

Namba 0765261930
 
Nitakupatia namba ya jamaa mmoja uongee naye(shule), na uonyeshe unashida kweli na uko tayari kulipwa hata kwa ujira mdogo
 
Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology)

Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu

Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi

Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa

Namba 0765261930
Kila la kheri mkuu, kuwa na subira katika kuhangaika, utafanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom