Msaada, Jamani naangamia

Duu, sasa nimeanza kuelewa, kwakweli hili ni janga LA kitaifa
 
Duu, sasa nimeanza kuelewa, kwakweli hili ni janga LA kitaifa
kwa siku natibu watu kumi na kumi na tano hili ni janga kubwa kuna umuhimu wa vijana kuelimishwa
 
Relax, ikiwezekana chukueni holiday au week end break sehemu kama Bagamoyo, (mazingira mapya). Kaeni chumbani, ongeeni, mcheke, utani, story, mkiwa na nguo nyepesi tu. Usifikirie mgegedo fikiria uko na rafiki yako mengine yatakuja.
unamrudisha Fungate na usawa huu wa Magu Mmh!!
 
Hiyo ndo tabu ya kuoana unexperienced people, angalau mmoja wapo kati yenu angelikua anajiweza sasa nyie woote taaban hamjiwezi, subiri tu Muda utaingea Huyo mkeo ipo siku atampata wa kumsisimua
 
Mlete kwangu akae wiki moja,akiludi arakuwa amepona kabisa na huduma hii nitajitolea bure kabisa bila ghalama zozote,karibu sana.
 
Asante sana lazima nikutafute leo
 
Mlete kwangu akae wiki moja,akiludi arakuwa amepona kabisa na huduma hii nitajitolea bure kabisa bila ghalama zozote,karibu sana.
Kaka hiyo sahau, simleti asee[emoji4] [emoji4]
 
Yani hapo wote ni ma lena, sijui nani wa kumfundisha mwenzake. Kama wewe 25 mke anamiaka mingapi? Seems like bado ni mtoto. Ina maana bikra yake anayo bado haujaitoa mkuu?
 
Tatizo ulilonalo ni kubwa sana ila unavyosimulia unasimulia kimasiala sana kias kwamba siamini kama ni kweli
 
katafute ya plastic madukani,ifiche chini ya mto.Hakikisha unamuandaa gizani,mlainishe kwa romance,aiklegea unaichukua bila yeye kujua na kuvaa.Piga machine mpaka njia itanuke vizuri na iwe inapenyeka kirahisi,hapo vua plastic na weka dushelele na uendelee na mchezo.Kazi kwishaaaaaa.
Sipendagi ujinga mimi
 
Nipe friendly game kisha ww kuwa wakili pembeni hadi mwisho wa game utafound kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…