Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

junior 12

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Wanajamvi naombeni msaada ni jinsi gani naweza kurestore nokia express music 5530....nimejaribu kuingiza *#7370# then nimeweka password ya 1-5 but imeshindikana inaniambia code error nikajaribu kuomba password kwa mtu aliye nipa but na yeye amesahau......Naombeni msaada wenu.
 
Hapana mkuu,..Then sifahamu hiyo hard format kabla sijaiwasha naomba unielekeze nijaribu kufanya hvyo.
 
Jaribu kuingia ktk settings angalia hakuna sehemu ya restore factory settings
 
Tumia infinity best bb5 crack NA download firmware ya Nokia hiyo simu ambayo rm. Nyuma ya simu vyote search google
 
Back
Top Bottom