msaada jamani laptop yangu!

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
nina laptop aina ya eMachines, tatzo lake ni kwamba inawaka tu kwenye screen but haioneshi maandishi japo mwanga upo nisaidien wapendwa maana kwenyee hard disc yake kuna vitu vya muhim nataka ku access
 
Nenda mahali penye screen nyingine kuna option ya kuchomeka external screen, chomeka external screen na utaweza kujua kama tatizo ni screen ya laptop au la.
 
Fanya kama Minja alivyokuelekeza utafanikiwa kujua tatizo mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…