Msaada jamani kwenye Nokia X2

Msaada jamani kwenye Nokia X2

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJF habari za muda huu.
Tafadhalini naombeni msaada wenu mabingwa wa simu niliweka security code kwenye hii simu lakini nimezisahau.Msaada tafadhali kwa anayefahamu master security code ya Nokia X2
 
Easy itie kwenye choo uiflash tatizo litakwisha 4 good,,,,,,,,,searching network.....
 
Easy itie kwenye choo uiflash tatizo litakwisha 4 good,,,,,,,,,searching network.....

Kama huna nia ya kumsaidia mtu bora kunyamaza kabisa kuliko kuandika ujinga kama huu hata kama nimeomba.Umri unapoongezeka utambuzi pia unaongezeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom