Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 248
Wakuu, nina app ya IPTV kwenye simu ila file la channels ( m3u ) sina. Nimetafuta sana nimekosa. Nimejaribu hata Ku Google namna ya kutengeneza m3u file ila pia nimeshindwa. Wakuu, tafadhali mwenye file yenye channels zozote za hapa nyumbani au hata za nje nitashunkuru. Tafadhali nisaidieni wakuu.