Habari wana jf!Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata king'amuzi cha azam kwa sisi watu wa mikoani!Me niko singida na ninahitaji sana king'amuzi hicho maana nimesikia ni vizuri!
tuma contact zako nikuunge na wakala wa hapo singida ni kizuri saaana. Mwenyewe natumia hicho
King'amuzi cha kichina hicho..Decoder zao hazina clear picture giza giza tu.... kamatv yako haina uwezo wa kuongeza lightness imekula kwako kama cha star Times...Sielewi Serikali yetu kwenye idara hizi wanahongwa pesa ngapi hadi wanaruhusu matakataka haya kujazwa nchini mwetu wachina wamegeuza kwetu kama dampo lao huku wakisaidiwa na wazawa... Mambo CTV haina hata haja ya kuwa na HD
Unaweza ndugu ukanielekeza zaidi kuhusu hii CTV? Mimi nimeboreka saaaana na hivi ving'amuzi, channels unazotangaziwa ama hutazipata zote au nyingine unazipata kwa muda halafu zinatoweka. Nimebadili mpaka sasa utafikiri nina biashara ya ving'amuzi, hapa mwishoni mwaka jana nikaingia mkenge wa Easy TV- hawana lolote ni wezi wakubwa, karibu channel 5 ambazo nilikuwa nazitumia zote wameziondoa, sana sana nalazimika kangalia TBC