Msaada jamani. kazi yeyote ya IT. pleaseeeeee!!!

Msaada jamani. kazi yeyote ya IT. pleaseeeeee!!!

umeonaee@samson wamesahau kuwa kutangulia c kufika,waache dharau cha mcng kusaidiana na kupeana mawazo vijana now wanahangaika sn n elimu zao,hal mbaya!.

HAHAHAAAAAAA! Vijana hamtaki kuambiwa ukweli! He might be mean but he has a point. Kazi nyingi ni tofauti sanaa na theory za skongaaaaaa!

Juzi kulikuwa na itavyu ya muhasibu, sasa akaulizwa Capital Structure gani itafaa kwa expansion. Akaanza kuleta ishu za Modiglian Miller Capital structure theory!!!!!!!!!! Come on!!!!!!!! Ana MBA huyo mtu.

The point is some theories are ment to stay in Class not to proceed in real life.

So back to router issue hio ndo itakuwa moja ya daily activities zako sio zile codes ulizozoea kucharaza! Learn the shit coz ndo iko applicable zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom