Lady Unbreakable
Member
- Feb 20, 2013
- 33
- 5
Wanajamii jamani, nina shida ya kibarua cha IT jamani.. anybody mwenye kuweza kunisaidia tafadhari, hata kunishika mkono mahali. hasahasa networking sector
nashukuru sana.
nashukuru sana.
fika pale damu salama walitangaza nafasi za kazi deadline tarehe 29 mambo ya kuingiza data kajaribu
pale msimbazi centre
nina degree ya computer science, electronics and mathematics. Mshahara sina makuu kabisa, laki tano,sita na zaidi pia sio mbaya nitashukuruunataka kulipwa kiwango gani cha mshahara na una level gani ya elimu?
Laki tano na zaidi sio mbayaungependa ulipwe sh ngapi kwa mwezi
Kweli nchi yetu bado sana,mtu wa IT anakosa kazi!!!!????
Kweli nchi yetu bado sana,mtu wa IT anakosa kazi!!!!????
ndugu kazi zilizopo siku hizi ni sales tu kama waweza sales ndo utaishi mjini tena uwe na driving license kama una vigezo na uko committed sema tukupe machannel chalii yangu
Mi nataka mtu wa kuendesha internet cafe, niPM
Mi nataka mtu wa kuendesha internet cafe, niPM
Tatizo ni hivi vyuo vya vichochoroni.... mtu anaenda hapo miezi mitatu....masaa 2 kila siku...akitoka hapo anasema yeye ni IT...Ukimpa Router aifanyie configuration anasema hatukufundishwa hiyo.........