Sasa unataka tukupe jbu?
Kama kusoma hujui, hata picha huoni? Unasaidiwa mkuu....amka kuwa mkali kama mywa viroba halafu mshtukize siku unaenda kwake, uendage usiku halafu umekunja ndita balaa hutaki utani. Sema umefulia ndo bahati mbaya. Pole mpwa
Mwanamke akianza kukusaliti, hayo unayoyaona/anayokufanyia ni kiashiria n02 1 kwamba ananyumba ndogo na tayari imeshaanza kumchanganya!
Nb: Sometimes yanaweza kutokea hayo bila ya yeye kukusaliti!
May be ameshajipakazia kwamba anabonge la bwana! Kitendo cha wewe kuongozana naye huenda akaproviwa wrong na hao mashoga zake hasa ukiangalia mwonekano wako!
Suala la yeye kukupiga taff kimaisha haimzuii yeye kukusaliti!
My take:
Chunguza zaidi kabla ya kuchukua maamuzi ambayo unaweza kuyajutia baadae!
Na jee mlidumu muda gani kabla ya ndoa? In other words: Ulikitumia vipi kile kipindi cha shake before use?
uhusiano wetu ulidumu kama miaka mi 3 kabla ya ndoa... Na ulkuwa nimzuri sana ndg..
Na jee uligundua anapenda sifa za kijinga? = jee anapenda kujiproud?
Jee alipenda kuwasengenya watu kwa kuwaponda?
distance bro... distance, women hawawezi kuvumilia distance na sijui ni kwa nini, kama mkiwa mbali kwa muda na ukamkuta yuko mweupe hajaguswa basi she loves you more than you can imagine, ukikuta otherwise which is what you are experiencing then there are two things involved, its either she never loved you the way you thought she did au she loves you but she has another man and now you are back, she's confused..
I suggest ujishushe and give her some time to sort things out, huwezi jua ni nini kinamsumbua kichwani, na pengine hataki ukijue 'cause kitakukwaza, rudi enzi zile ulizokuwa unamfukuzia, muoneshe wewe ni yule yule wa zamani, potezea anayokufanyia, usilipe baya kwa baya, lipa mema.. simaanishi na yeye atakulipa mema, lakini naamini utapata kuujua ukweli kwa njia hiyo.

kuna wakati pia huniambia anajuta kuolewa!

hilo la pili naona analo kidogo..!
Tatizo yeye ni msemaji sana ili hali mie si msemaji sana