Msaada jamani hili vazi laitwaje?

Hili vazi linawafaa sana wakinadada wakiwa wanaenda hospital, madaktari hawatopoteza muda mwingi kungoja nguo zinyofolewe ili waanze vipimo, kama ibara mbalimbali katika vifungu vya upimaji kwenye bunge maalum la vipimo linavyosema.
 
Mali yangu ulimwengu wote wanaiangalia, wana moyo hawa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…