MSAADA JAMANI FASTA FASTA

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Nipo kwenye UDA natoka K/Koo naelekea Mbagala pembeni yangu nimekaa na mwanadada mkaliii. Tumesha salimiana ila sijamsemesha chochote mpaka sasa tupo Bandari kuna foleni. Natamani kumsemesha ila moyo wangu unasita asije kunipazia sauti nifanyaje wadau ushauli. Nikaushe mpaka mwisho wa safari au........Nimwage mtamaaaa. Kumtega njiwa
 
Shuka atakaposhukia yy halafu maliza kila kitu maana mtakua wawili tu.
 
Hapo ushapata mada ya kumuanzia, guna kidogo halaf mwambie shida ya dar foleni, yani hapa kufika nyumbani saa nne usiku... akikujibu baada ya hapo nenda na beat.

Na usipoguna kusafisha koo sauti haitoki hiyo.
 
Mlipie nauli kwanza.
 
Ingia uwanja wa meseji , andika ivi.

"Hellow Mwanamke mzur, umependeza sana kwa iyo nguo yako ,nmejikuta nataman kua sehem ya kampani yako, niandikie hapa namba yako ili niwe nakujulia hali jjapo mara moja moja.....Am Mr .....(.jina lako)


Alfu jitumie huo ujumbe ktk namba ingine....ili ujisevu.....kisha ufungue iyo meseji ktk inbox na UMPE SIMU YAKO BILA KUONGEA CHOCHOTE.


Atausoma, atakuangalia tena...nakwasababu nimbele ya watu, lkn umejiamin na umetumia mbinu ya usiri bila mtu kujua umemuomba namba, nabado umeonyesha km mnajuana.

ATAKUPA NAMBA...NIAMIN HIYO MBINU INANIPAGA NAMBA NDANI YA MAGAR MPAKA NYINGINE NAZISAHAU.

NB...HAKIKISHA UPO SMART .
 
Usifanye masiara ujue,, wee!!!si mchezo mkubwa kile ni kipaji ujue
Hahahahahah we mchane mkuu anzisha maongezi..ila usiwe straight.

Mfano anza kama unajisemesha

Leo joto kali kweli kweli we unaonaje?

Akikujibu endeleza maongezi taratibu.

Ila ukiona hana interest na wewe kabisa bas kausha tu usije aibishwa
 
Hahahahahah we mchane mkuu anzisha maongezi..ila usiwe straight.

Mfano anza kama unajisemesha

Leo joto kali kweli kweli we unaonaje?

Akikujibu endeleza maongezi taratibu.

Ila ukiona hana interest na wewe kabisa bas kausha tu usije aibishwa
Mbuta huo ujasiri unatoka wapi
Hivi uliwahi kukutana na demu hadi unajikuta unatetemeka kama kuna baridi hivi
 
Mbuta huo ujasiri unatoka wapi
Hivi uliwahi kukutana na demu hadi unajikuta unatetemeka kama kuna baridi hivi
Hahaha wacha hizo mi ilikuaga zamani sana ila nishazoea saivi kuanzisha conversation na mdada sioni soo
 
We jikaze mtoto wa kiume...la sivyo unamkosa mtoto mzuri huku unaona
 
Sasa wee si ushazowea?kuna ambao hata kumwambia "mambo"ni shida
Hahahahahaha ndo unazoea taratibu mkuu.. Mi zamani ilikua hata kukaa na demu hivi natetemeka... Msela wangu mmoja akanichana nikiwa hivo watoto wazuri ntaishia kula kwa macho...basi nkaanza kujipa ujasiri nkazoea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…