msaada jamani, Elimu ya uganda 4m5 na 6

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
habari wana jf! jamani nahtaji kujua utaratibu wa elimu ya uganda kwa 4m5 na 6' je wanatumia qualification gan kujiunga? na comb zao zipo vipi? na pia ningependa kujua mengine mengi kuhusu ubora wa elimu ya ug! ahsanten wote kwa mchango wenu mzuri.
 
Back
Top Bottom