N Nyeusi Member Joined Feb 13, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Feb 22, 2012 #1 jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Feb 22, 2012 #2 ngoja wa elimu waje
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Feb 22, 2012 #3 Jamani hicho chuo bado kinaexist?
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Feb 22, 2012 #4 Kabakabana said: Jamani hicho chuo bado kinaexist? Click to expand... Ndiomaana kauliza contact zao.
N Nyeusi Member Joined Feb 13, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Feb 22, 2012 Thread starter #5 Kabakabana said: Jamani hicho chuo bado kinaexist? Click to expand... Hiki chuo kipo bwana lakin contact zao ndo zinakuwa shida
Kabakabana said: Jamani hicho chuo bado kinaexist? Click to expand... Hiki chuo kipo bwana lakin contact zao ndo zinakuwa shida
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Feb 22, 2012 #6 Ivi hiki chuo ndo kinatoa kozi gani? Na zinatumika wapi? Hebu nisaidieni.