umenunua mpya au mkononi kwa mtuPoleni na majukumu wanajamvi. Nimenunua simu aina ya samsung GT-C3510 lakini nikiweka sim card hakuna network , naombeni msaada wenu wanajamvi.
ni mpya
Ndugu Ibusai inawezekana zile terminals za kuwekea SIM card Imepinda au zimekatika. Ni vizuri uirudisha kama ulipewa Warranty.nikiweka sim card hakuna network , naombeni msaada wenu wanajamvi.