Msaada IT - improve my blog server response time

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,058
1,099
Habari wakuu.. msaada Tafadhali, Nawezaje ku improve my server response time? ni njia gani nizifate ili blog server yangu iweze kurespond faster.

Shukran..

Nawasilisha
 
Kwani server ni yako?

kama ni yako make sure unatumia ssd badala ya hdd, tafuta processor nzuri na ram kubwa.

kama si yako basi haikuhusu mmiliki wa server ndie anaeamua. either tafuta package nzuri kwenye zerver za huyo huyo au hama server hizo tafuta server nyengine zenye response nzuri
 
kwani server ni yako?

Samahani mkuu nawezaje kumjua mmiliki wa server ya blogspot yangu?
 
samahani mkuu nawezaje kumjua mmiliki wa server ya blogspot yangu?

Mkuu blogspot zinakuaga hosted kwenye server za google unachoweza kufanya kama ni blog jaribu punguza size ya picha i mean file size...

Ukawa una upload picha za mb hadi 3 jaribu kuzicompless size zifike hadi vi kb kadhaa hakikisha haifiki 200kb hapo itakua inaload faster.
 
mkuu blogspot zinakuaga hosted kwenye server za google unachoweza kufanya kama ni blog jaribu punguza size ya picha i mean file size... ukawa una upload picha za mb hadi 3 jaribu kuzicompless size zifike hadi vi kb kadhaa hakikisha haifiki 200kb hapo itakua inaload faster

Shukran sana.
 
Chanzo cha hilo tatizo ni bure. siku zote bure ni gharama.

Kama upo serious na kazi unayofanya tafuta server ya kulipia itakayokupa options na uwezo zaidi.
 
Back
Top Bottom